• AFYA YA AKILI KWA VIJANA - DOCTOR RAFIKI AFRICA
    Oct 17 2025

    Kipindi hiki kinazungumzia changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana — msongo wa mawazo, hofu ya maisha, presha kutoka kwa jamii, mitandao ya kijamii, na changamoto za kujitambua.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    32 Min.
  • Maumivu ya mgongo kwa watoto na jinsi ya kukabiliana nayo.
    Sep 25 2025

    Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, wiki hii unaenda kuungana na wataalamu wa mazoezi tiba, Emmanuel Jacob na Daniel Materu tunapozungumzia suala zima la maumivu ya mgongo kwa watoto na jinsi ya kukabiliana nayo.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    32 Min.
  • MAUMIVU YA MGONGO KWA WAJAWAZITO
    Sep 19 2025

    Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, tunapoangazia suala zima la maumivu ya mgongo kwa wajawazito, Karibu kusikiliza.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    38 Min.
  • NJIA ZA KUKABILIANA NA MAUMIVU YA MGONGO
    Sep 11 2025

    Habari Rafiki, karibu kwenye episode nyingine ya Doctor Rafiki Africa, na wiki hii tunazungumzia njia za kukabiliana na maumivu ya mgongo. Ni furaha yetu utaenda kujifunza mambo mbalimbali ukiungana na wataalumu wetu wa masuala ya physiotherapy. Karibu kusikiliza

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    30 Min.
  • Nini kinasababisha maumivu ya mgongo ya mara kwa mara
    Sep 4 2025

    Je, unakumbwa na maumivu ya mgongo mara kwa mara?
    Katika video hii, daktari wa mazoezi (physiotherapy) Emmanuel Jacob ndani ya Doctor Rafiki Africa ataeleza kwa undani sababu kuu zinazoweza kusababisha maumivu ya mgongo ya mara kwa mara, dalili unazopaswa kuzingatia, na njia bora za kuzuia na kutibu.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    17 Min.
  • Supplements kwa Makundi Maalumu – Fahamu Nini cha Kuzingatia
    Aug 14 2025

    Katika kipindi hiki cha Doctor Rafiki kwa kushirikiana na Nutrihaven, tunazungumzia umuhimu wa virutubisho kwa makundi maalumu kama wazee, wanawake kabla na baada ya menopause, wajawazito, wanaonyonyesha, na watu wenye magonjwa sugu.

    Dr. Julieth Sebba na Dr. Carl Mhina wanakupa mwongozo wa kitaalamu kuhusu wakati, sababu, na tahadhari za kutumia virutubisho kwa afya bora.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    33 Min.
  • Je, Kila Suppliment Za Kula Ni Salama Kwako?
    Aug 6 2025
    Chapters
    • (00:00:00) - Foreign Supplements
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    34 Min.
  • NJIA 05 ZA KUJIANDAA ILI KUPATA MAZIWA YA KUTOSHA BAADA YA KUJIFUNGUA
    Jul 30 2025

    Habari Rafiki, tukiwa kwenye wiki ya unyonyeshaji karibu tujifunze njia 05 za kujiandaa ili kupata maziwa ya kutosha baada ya kujifungua, tukiwa na mtaalamu wa lishe na unyonyeshaji, Idda Katigula.

    Kwa maulizo na ushauri

    Email: dr.rafikiafrica@gmail.com

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    46 Min.