Doctor Rafiki Afrika Titelbild

Doctor Rafiki Afrika

Doctor Rafiki Afrika

Von: Doctor Rafiki
Jetzt kostenlos hören, ohne Abo

Über diesen Titel

Habari, Kwa majina naitwa Dr. Julieth Sebba, MD. Ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Ungana nami kila wiki, nikikushirikisha maarifa mbalimbali katika kuboresha afya yako, afya ya familia yako na jamii kiujumla.© 2024 Hygiene & gesundes Leben Persönliche Entwicklung Persönlicher Erfolg Seelische & Geistige Gesundheit
  • AFYA YA AKILI KWA VIJANA - DOCTOR RAFIKI AFRICA
    Oct 17 2025

    Kipindi hiki kinazungumzia changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana — msongo wa mawazo, hofu ya maisha, presha kutoka kwa jamii, mitandao ya kijamii, na changamoto za kujitambua.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    32 Min.
  • Maumivu ya mgongo kwa watoto na jinsi ya kukabiliana nayo.
    Sep 25 2025

    Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, wiki hii unaenda kuungana na wataalamu wa mazoezi tiba, Emmanuel Jacob na Daniel Materu tunapozungumzia suala zima la maumivu ya mgongo kwa watoto na jinsi ya kukabiliana nayo.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    32 Min.
  • MAUMIVU YA MGONGO KWA WAJAWAZITO
    Sep 19 2025

    Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, tunapoangazia suala zima la maumivu ya mgongo kwa wajawazito, Karibu kusikiliza.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    38 Min.
Noch keine Rezensionen vorhanden