KWELI YOTE NA EUGEN Titelbild

KWELI YOTE NA EUGEN

KWELI YOTE NA EUGEN

Von: EUGEN HUDSON
Jetzt kostenlos hören, ohne Abo

Über diesen Titel

Kujifunza maarifa ya neno la Mungu kwa kadri ya neema niliyopewa katika kumjua Mungu.EUGEN HUDSON Christentum Spiritualität
  • UZIMA WA MUNGU NDANI YETU EP 02
    Jul 2 2023
    Tafsiri ya uzima wa Mungu ndani yetu na sababu ya kwanini mtu yeyote haijalishi dhehebu wala dini yako, maadamu unaitwa mwanadamu na umeumbwa kwa mfano wa Mungu. Unahitaji uzima huu wa Mungu. Chukua dakika hizi kujifunza kidogo.
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    10 Min.
  • KWELI YOTE NA EUGEN
    Jun 27 2023
    Roho Mtakatifu ndiye ile chemichemi iliyo ndani ya kila aliyemwamini Yesu. Ni lazima kunywa maji haya ili mtu asiwe na kiu na dhambi za zamani kabla hajaokoka. Unaweza kuwepo ndani ya Yesu muda mrefu lakini bado unayo kiu. Huna namna kuishi maisha ya utakatifu ila ndani yako bado unayo kiu ya dhambi ni vile tu huna namna. Ukijifunza utajua kiu hiyo inaweza kukatika ukiijua hii kweli.
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    8 Min.
Noch keine Rezensionen vorhanden