KWELI YOTE NA EUGEN Titelbild

KWELI YOTE NA EUGEN

KWELI YOTE NA EUGEN

Jetzt kostenlos hören, ohne Abo

Details anzeigen

Über diesen Titel

Roho Mtakatifu ndiye ile chemichemi iliyo ndani ya kila aliyemwamini Yesu. Ni lazima kunywa maji haya ili mtu asiwe na kiu na dhambi za zamani kabla hajaokoka. Unaweza kuwepo ndani ya Yesu muda mrefu lakini bado unayo kiu. Huna namna kuishi maisha ya utakatifu ila ndani yako bado unayo kiu ya dhambi ni vile tu huna namna. Ukijifunza utajua kiu hiyo inaweza kukatika ukiijua hii kweli.
Noch keine Rezensionen vorhanden