Vikwazo na Mafanikio Titelbild

Vikwazo na Mafanikio

Vikwazo na Mafanikio

Jetzt kostenlos hören, ohne Abo

Details anzeigen

Über diesen Titel

Kwenye hii episode yetu ya KOMA Podcast, Tumekutana na Nanga pamoja na Tiko, tukachambua ukweli wa maisha: ile hali ya kuwa ya mafanikio au kutoboa na mategemeo ya watu kwako katika jamii yetu pamoja na matokeo yanayokuja pale unapochagua kujipa kipaumbele.


Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Noch keine Rezensionen vorhanden