Vijana na Mapenzi Titelbild

Vijana na Mapenzi

Vijana na Mapenzi

Von: The Standard Group PLC
Jetzt kostenlos hören, ohne Abo

Nur 0,99 € pro Monat für die ersten 3 Monate

Danach 9.95 € pro Monat. Bedingungen gelten.

Über diesen Titel

Ni jukwaa la kila wiki la kuzungumzia mapenzi miongoni mwa vijana; mahusiano, kuchumbiana na mengi yaliyowakaa mioyoni.The Standard Group PLC Beziehungen Sozialwissenschaften
  • Je, unafaa kukutana na mpenzi wa mtandaoni baada ya muda gani? | Vijana na Mapenzi.
    Nov 10 2022
    Mitandao ya kijamii siku hizi imeanza kutumiwa na watu wengi kuwatafuta wachumba. Je, ni muda upi unaostahili kuchukua kabla ya kukutana ana kwa ana na mchumba wa mtandaoni? Tumewashirikisha wananchi katika gumzo hili wakiwamo vijana waliojaribu mapenzi ya mtandaoni vilevile mshauri kulihusu suala hili.
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    14 Min.
  • Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast
    Oct 20 2022
    Kuna misemo kwamba pesa ni sabuni ya roho, pesa ndizo chanzo cha maovu yote na kadhalika. Je, ni kweli kuwa mwanaume anapopata pesa mienendo yake hubadilika? Kwamba wanajiburudisha mno kwa vileo, kuwa na wapenzi wengi wa kike, kuoa mke mwingine na kadhalika. Tumezungumza na wananchi.
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    6 Min.

Noch keine Rezensionen vorhanden