Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. Titelbild

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

Von: Hefsiba Nzali
Jetzt kostenlos hören, ohne Abo

Über diesen Titel

Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency,

Sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga, ku-level up sectors zote ili Kupata unachotaka bila kutumia nguvu na kuepuka kutumiwa Bure.

Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology, wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft.

Welcome home QUEEN!

All rights reserved.
Beziehungen Hygiene & gesundes Leben Kunst Persönliche Entwicklung Persönlicher Erfolg Seelische & Geistige Gesundheit Sozialwissenschaften
  • Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia.
    Feb 2 2026

    Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu,

    Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi.

    Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku

    episode hii ni kwa ajili yako.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    26 Min.
  • Jinsi ya kuwa Self Obsessed
    Jan 23 2026

    Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby,

    sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana.

    Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine.

    Utajifunza

    –Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke

    – Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia

    – Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumla


    Kama umewahi kujisahau ili upendwe au ukubalike

    episode hii ni kwa ajili yako.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    17 Min.
  • Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026!
    Jan 13 2026

    Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i really want you to not just listen but get into it by doing action starting today.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    19 Min.
Noch keine Rezensionen vorhanden