SBS Swahili - SBS Swahili Titelbild

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

Von: SBS
Jetzt kostenlos hören, ohne Abo

Über diesen Titel

Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza KiswahiliCopyright 2023, Special Broadcasting Services Politik & Regierungen Sozialwissenschaften
  • Makala leo: Ubaguzi wa rangi wabainika kuwa umeenea na niwa kimfumo katika vyuo vikuu vya Australia
    Feb 24 2026
    Ripoti ya kwanza ya kitaifa kuhusu ubaguzi wa rangi katika vyuo vikuu nchini Australia imegundua kuwa ni tatizo lililo enea na la kimfumo.
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    19 Min.
  • How to recover from bushfires - Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupona kutokana na moto wa vichaka
    Feb 24 2026
    Australia’s hot, dry climate and unique landscapes make it one of the most bushfire-prone countries in the world. As climate change drives higher temperatures and drier conditions, we can expect more frequent and more intense bushfires in the future. But once the fire is out, how do you return home safely, find support, and look after yourself? - Hali ya mazingira ya joto, ukavu pamoja na mandhari yakipekee, hufanya Australia iwe mojawapo ya nchi zinazo kabiliwa na moto wa vichaka zaidi dunini. Mabadiliko ya tabianchi yanapo sababisha ongezeko ya hali ya joto na mazingira ya ukame, tunaweza tarajia moto ya vichaka mikali zaidi mara kwa mara katika siku za usoni. Ila moto unapo zimwa, unaweza rudi nyumbani salama, pata msaada na kujihudumia?
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    11 Min.
  • Taarifa ya Habari: Hali mbaya ya hewa yaweka sehemu nyingi nchini katika hali ya tahadhari
    Feb 24 2026
    Sehemu nyingi za Australia ziko katika hali ya juu ya tahadhari, hali mbaya ya hewa na mvua zikiendelea kuathiri jamii na kuharibu njia muhimu za usafiri.
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    14 Min.
Noch keine Rezensionen vorhanden