Mawimbi ya Matumaini Titelbild

Mawimbi ya Matumaini

Mawimbi ya Matumaini

Von: Hope Media SNC
Jetzt kostenlos hören, ohne Abo

Über diesen Titel

Katika ulimwengu wenye kelele na fujo nyingi zinazotunyong'onyesha ni habari njema kuwa na mahali ambapo tunaweza pata tulizo. Kutoka hapa tumaini linalopatikana katika Yesu mwokozi katika mfumo wa mawimbi tulivu ya sauti njema. Haijalishi uko wapi ama unafanya nini unachohitaki ni kujiunganisha na sehemu hii na sauti za watumishi mbalimbali wa Mungu zikieleza kuhusu pendo lake lisilo na kifani zitakufikia... Hakika haya ni Mawimbi ya Matumaini kutoka South Nyanza Conference.Hope Media SNC Christentum Spiritualität
  • NenoLaBwana | Mahusiano Yenye Uhusiano Sehemu ya 1 - Mch. Paul Semba
    Dec 17 2023

    Somo hili lilitolewa katika mfululizo wa masomo ya siku kumi za uamsho wa kaya na familia zilizofanyika katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Kiseke. Hili ni somo la kwanza katika mfululizo huo uliopewa kichwa kisemacho "Mahusiano Yenye Uhusiano" Waweza Fuatilia Ukurasa wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Kiseke: https://www.youtube.com/@kisekesdamedia --------------------------------------------- Kurasa Rasmi za Mitandao ya Kijamii za South Nyanza Conference Tufuatilie: https://linktr.ee/sncadventist --------------------------------------------- ©MawasilianoSNC2023

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    58 Min.
  • Nyayo katika Mapambano | Pr. Paul Semba
    May 15 2023

    Katika somo hili Mchungaji Semba anatupeleka katika ajenda kuu ya sura ya tatu ya kitabu cha Mwanzo ambapo tunaona pambano kati ya Elohim na Shetani anaekuja kwa umbo la nyoka.


    Barikiwa na somo hili...

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    43 Min.
  • Tofauti kati ya Makusudi na Maelekezo | Pr. Peter John
    May 15 2023

    Mungu analo kusudi kwa ajili ya kila mmoja wetu na kama tunakusudia kujenga familia zilizo imara ni muhimu kufahamu kusudi hilo na kuishi kuendana na hilo. Mchungaji John anatumia somo hili la pili kuelekeza juu ya umuhimu wa kufahamu makusudi haya na kuishi kulingana na maelekezo ya muumba wetu ili kujenga mahusiano imara na Mungu wetu na hatimaye wenzi wetu.


    Bwana akubariki sana.

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    23 Min.
Noch keine Rezensionen vorhanden