HALISI CHATS Titelbild

HALISI CHATS

HALISI CHATS

Von: Anna Chinyoyo
Jetzt kostenlos hören, ohne Abo

Über diesen Titel

Halisi Chats ni mazungumzo halisi kuhusu pesa, biashara, career na growth. Tunabreak down topics kama saving, investing na discipline kwa real-life examples ambazo zina make sense kwetu East Africa haswa Tanzania. Let us grow pamoja — pole pole but strategically. With Anna Chinyoyo 🎙️

Anna Chinyoyo
Erfolg im Beruf Persönliche Finanzen Ökonomie
  • Basics za uwekezaji
    Feb 25 2026

    Katika session hii, tunaongelea basics za uwekezaji kwa lugha simple na relatable.

    Uwekezaji ni nini hasa? Unaanza lini? Unahitaji hela nyingi? Na tofauti yake na saving ni ipi?

    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    45 Min.
Noch keine Rezensionen vorhanden