Amedeus Live Podcast Titelbild

Amedeus Live Podcast

Amedeus Live Podcast

Von: Amedeus D. Raphael
Jetzt kostenlos hören, ohne Abo

Über diesen Titel

Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo. Maudhui ya Podcast hii: Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani, Mtazamo wa Mkristo, Mapitio ya Vitabu,Amedeus D. Raphael Christentum Spiritualität
  • Tumetokana na Mungu
    Apr 1 2024
    Mungu ni chanzo chetu, tumezaliwa neno lake, tumetokana na yeye. Ametuzaa kwa mapenzi yak, sisi na kazi ya mikono yake, limbuko la kwanza la viumbe wake. Tuna uzima wa aina yake, tuna asili yake na tumejazwa kwa Roho wake.
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    16 Min.
  • Msingi wa Imani ya Kikristo
    Apr 1 2024
    Kristo ndani yako nfio maana halisi na mjumuisho mzima wa Imani ya Kristo. ukristo sio dini, ni uhalisia uhusiano wa Mungu na mwanadamu. Ni maisha halisi ya Mungu ndani ya mwanadamu. Ni Uungu katika mwili.
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    18 Min.
  • Usijitahidi Kushinda Tena
    Apr 1 2024
    Usijitahidi kuwa kile ambacho tayari upo, tambua wewe ni mshindi, na umezaliwa kwenye mshindi na upaswa kudhihirisha ushindi kila siku. Ni jadi yako, Mila Yako, asili Yako kuishi na kutembea katika ushindi.
    Mehr anzeigen Weniger anzeigen
    12 Min.
Noch keine Rezensionen vorhanden